JE UKWELI NI UPI KUHUSU UKE WENYE KINA KIREFU AU KIFUPI AU KUPANUKA? - EDUSPORTSTZ

Latest

JE UKWELI NI UPI KUHUSU UKE WENYE KINA KIREFU AU KIFUPI AU KUPANUKA?

Image result for tendo la ndoa asubuhi


Kule umetaja,kwamba mwanamke mwenye kina kifupi cha uke wake,kwanza nataka nijue,utamjuaje kuwa huyu mwanamke Ana kina kifupi? Pia na upande wa pili ivyoivyo yaani mwnye kina kirefu.
2:kinacho sababisha haya yote yatokee ni nini hasa,kuwa na uke kina kirefu na kina kifupi.
3:labda kuna madhara yeyote kwa wote ktk pande mbili?.
4:Kwa labda wote aliye na kina kirefu na kifupi,ktk tendo la ndoa,Na ili ndoa isivunjike,kuna namna ya upigaji wa style labda,kwamba mwnye kina kifupi anastyle ake,na kina kifrefu? AHSANTE DADA NAOMI,NI HAYO TU

#JIBU👇👇👇👇👇👇

MANA YAKE:
Mwanamke ana bwawa automatically..yaani uke wake ni 3 - 4.7 inches...= 9cm - 17cm!!!! Kwahyo ni marufuku na ni mwisho kuitana VIBAMIA. USIWEPO WA KUMWITA MWANAUME ANA KIBAMIA👂👂👈 WANAWAKE HATUJUI NI HERI TUNYAMAZE KIMYA UKENI PEKEE NDIKO UTANUKA MWANA KUZALIWA
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
MAJIBU: Ukubwa wa uke (ili tusiitane Kibamia au Bwawa) haya hapa.
👇
👇
Kwa mlio fuatilia mada kuhusu kuhoji Ukubwa wa Uke mtatambua kuwa Mjadala ulikuwa mkali: KUNA WALIOPINGA KWAMBA UKE NI ELASTIC...yaani unatanuka, hivyo hauna size, jambo ambalo nililipinga vikali kwa hoja mbalimblai kama vile: Kwanini wanawake wengine hujifungua kwa Operation kwasababu ya Uke kuwa mdogoSasa hicho kidogo ndo hakina Size kwanini kisipimwe‼️😁

😀👈Singles Mother mmoja hadi akili zikamruka akauliza "ipimwe kwa kutumia nini! nikamjibu "Ruler‼️..yaani as if hajui hesebau/hisabati au makusudi!⁉️

MWANAWAKE WEZANGU kama Uume ushapimwa na dunia inajua size yake kwamba ni 6-7 inches...why not Nyuchi Zetu zisipimwe⁉️⁉️

Basi leo asubuhi nimeisoma na nimepata majibu, ni Reaserch ya Madaktari mbalimbali duniani, wakunga etc.

NI HIVI:👈😀😁👇👇👇

According to one study, the average depth of a vagina is about 3.77 inches, which is 9.6 centimeters (cm). Other sources suggest that the average range of size may be about 3 to 7 inches (approximately 7.6–17.7 cm)

However, these variations in size are not usually apparent, even to a sexual partner.
In fact, the depth of the vagina (from the opening to the tip of the cervix) can measure anywhere up to 7 inches (17.7 cm).

The appearance of vulvas varies widely. The skin may be the same color or darker than the rest of the body. The labia majora, which are the external "lips," can vary from around 2.7 to 4.7 inches (7 to 12 cm) in length.

The clitoris ranges from about 0.1 to 1.3 inches (5 to 35 mm) in size but swells and enlarges if a woman is aroused.

Hii ni kutokana na study za wazungu ambao maumbile yao ni madogo kuliko ya waafrica
Mfano Mwanamke wa Kiafrika mwenye inch8.4 inches
👇
Wanawake si rahisi kufahamu vipimo sahihi vya uke kwa kuwa si rahisi kupima, Inawezekana wewe ni mwanamke na unajua kwa kukisia vipimo vya uke wake kutokana na hekaheka za matumizi hata hivyo jambo la msingi ni kwamba kuta za uke ni elastic na si rahisi kujua vipimo halisi.​
​👇
Je, vipimo sahihi vya uke wa mwanamke akiwa relaxed ni kiasi gani?❓👇
🗣️Mwanamke akiwa relaxed urefu wa uke ni wastani wa sentimita 8 na nusu hadi 10​
Wakati kipenyo ni chini ya sentimita 3​
🗣️Akiwa amesisimka uke hupanuka na kuwa kati ya sentimita 13 hadi 15.​
🗣️Wakati kipenyo huwa sentimita 3 hadi 6.​
🗣️Na wakati anapojifungua mtoto uke hufika urefu wa sentimita 20 hadi 23 na kipenyo huwa kati ya sentimita 3 hadi 5.​
Wanawake wengi wanaamini kwamba wakiwa na uke unaobana husaidia kuleta raha kwa Mume na Mke wakati wa sex, kuna Ukweli ndani yake kwani namna uke unavyozidi kubana maana yake ni raha zaidi na msuguano zaidi. ​
Na kwa kweli uke ambao unapwaya husababisha dhiki kuu katika sex.​❌🏃
​🔴👇
Hata hivyo swali la msingi kujiuliza ni je, ni kiasi gani tutasema uke uunapwaya❓
Uke hutofautiana katika vipimo kila wakati, mwanamke anapokuwa relaxed kuta za uke huweza kukutana hata hivyo vipimo huanza kubadilika wakati mwanamke anakuwa amesisimka na kuwa tayari kwa sex.​
​👇
Kipenyo huwa kidogo mwanzo wa uke (opening) na huendelea kupanuka unavyoingia ndani.​
Mara nyingi uke hubadilisha vipimo hasa baada ya Mwanamke kujifungua kutokana na kutanuka kwa uke wakati wa kuzaa mtoto na Wanawake wengi hulalamika kwamba wanajisikia wanapwaya na hata kushindwa kuthibiti kibofu cha mkojo baada ya kuzaa.​
🙏
Njia sahihi ni kufanya zoezi la kukaza misuli Kegel au surgery ya kukaza uke.​
​👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂
Je kuna sababu ya mwanamke kuhofia mwanaume alinayebarikiwa kuwa na uume mrefu au mmpana❓
Haina haja kwa sababu namna uke unaweza kupanuka basi huweza kufanya accommodation ya size yoyote ya uume. ​
Ndiyo maana mtoto huweza kupita wakati wa kuzaliwa.​
🔴👇
Kimahesabu asimilia 60 ya wanawake duniani wana size ya wastani, asilimia 10 size ndogo na asilimia 30 ni size kubwa, sijajua wewe ni size kundi gan⁉️
👇
Pia hii ni kukutahadharisha kwamba kama una size kubwa ya uke unaweza kukumbana na matatizo yafuatayo.​
Kwanza ni huwezi kupata raha na kuridhishwa vizuri na MUME wako wakati wa sex kwa kuwa unapwaya yaani hakuna msuguano.​
Pili hewa huweza kuingiza wakati wa sex na kuanza kutoa mlio unaoweza kupunguza UNYUMBA na raha ya mapenzi pia unaweza kuwa na matatizo ya kubana mkojo
 —
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz