ILI MWANAMKE AFANYE SE--X NA A "ENJOY" LAZIMA HATUA HIZI TATU ZIFUATWE! - EDUSPORTSTZ

Latest

ILI MWANAMKE AFANYE SE--X NA A "ENJOY" LAZIMA HATUA HIZI TATU ZIFUATWE!

Image result for UNATAKA KUJUA NI KWANINI WANAUME NDIYO HUONGOZA KWA KUTELEKEZA WATOTO WAO?
Suala la kufanya mapenzi na mwanamke linachukua hatua kuu tatu, ni tofauti kabisa na mwanaume. Ili mwanauma kuridhika anahitaji tu kusisimuliwa na kukutana na viuno timamu. Lakini ili wewe mwanaume kumfikisha mwanamke kileleni inahitaji mambo matatu.
(1) Amani katika maisha ya kawaida; Ni ngumu sana mwanamke mwenye kisirani kufika kileleni, kama kila wakati anahanagika na simu za michepuko yako, kama kila wakati ni matusi, kumuambia kuwa ni mchafu, kumuambia kuwa hana akili, kumnyanyasa na kumtukana kwa namna yoyote, hana amani basi jua hata kitandani atakua hana amani, unaweza kwenda raundi sita lakini yeye akawa bado mkavu, yaani hata aissisimkwe ukawa sawa na unambaka. Lakini akiwa na amani katika maisha ya kawaida, anafuraha anapendwa basi raundi moja tu ya dakika tano ikamfikiha peponi.
(2) Maandalizi kabla ya mechi; Hii ni hatua ya pili na ya muhimu, kwamba hata kama alikua na mawazo, alikua na visirani vyake lakini mnapoingia chumbani kazi yako ya kwanza ni kuitoa akili yake katika ul;imwengu wa kawaida na kuiingiza katika ulimwengu wa kitrandani. Anza kwa kuongea naye maneno matamu, mchombeze kwa mambo mazuri, kumbukumbu tamu za maisha yenu na kisha anza kumuandaa, hakikisha unajua zile sehemu zake ambazo akiguswa anachanganyikiwa na jifunze namna ya kuzigusa, usikariri kuwa ni lazimakifuani, kuna wengine nwele, wengine visigono na wengine masikio, mjue na muandae vizuri.
(3) Wakati wa tendo la ndoa; Hii ni hatua ya mwisho, kama hizo nyingine zilienda vizuri basi jua hii haitakua ngumu sana. Hapa haijalishi idadi ya magoli bali namna ya ufungaji, hakikisha mnaenda sambamba, kama unafunga mnafunga pamoja, kwamba kama wewe ni mtu wa muda mrefu basi ukiona hajalainika mlainishe, usiwe mbinafsi na kujiridhisha wewe tu. Kama wewe ni mtu wa dakika tano basi usipaniki, zinatosha hizo hizo muhimu ni kufanya maandalizi mazuri na katika hizi tano hakikisha unagusa kuta zake vizuri, fanya kwa malengo, ingiza toa ingiza toa haitasaidia sana bali gusa kuta na sehemu ya juu kwa ndani huko ndipo hisia zilipo.
Kwa maelezo zaidi soma Kitabu changu cha “MWANAUME” na endelea kufuatilia ukurasa wangu Iddi Makengo
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz