Ili mapenzi yenu yadumu ni lazima wewe na mpenzi wako mfanye yafuatayo - EDUSPORTSTZ

Latest

Ili mapenzi yenu yadumu ni lazima wewe na mpenzi wako mfanye yafuatayo

Ili mapenzi yenu yadumu ni lazima wewe na mpenzi wako mjidhatiti katika kivumiliana hasa mkigombana au mkipitia magumu yoyoye kimaisha, hii ikimaanisha ili uhusiano wenu udumu ni lazima kila mmoja amvumilie mwenzake sio mmegombana kidogo tu unataka muachane au mmekosa pesa basi unataka ukamtafute mwingine.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz