IKIWA MWANAMKE NDIYE ANAYETAKA NDOA NA SIO WEWE KWA HITAJI LAKO KWAKE NIAMINI MIMI HIYO NDOA ITAKUWA HIVI. - EDUSPORTSTZ

Latest

IKIWA MWANAMKE NDIYE ANAYETAKA NDOA NA SIO WEWE KWA HITAJI LAKO KWAKE NIAMINI MIMI HIYO NDOA ITAKUWA HIVI.

Image result for IKIWA MWANAMKE NDIYE ANAYETAKA NDOA NA SIO WEWE KWA HITAJI LAKO KWAKE NIAMINI

Mwanaume nisome na unielewe ila kuamini nisemalo iwe hiyari yako;
• IKIWA MWANAMKE NDIYE ANAYETAKA NDOA NA SIO WEWE KWA HITAJI LAKO KWAKE NIAMINI UNAWEZA KUWA KAMA PAKA ๐ŸˆNYUMBANI KAZI YAKO KUKAMATA PANYA๐Ÿ€๐Ÿ’ฏ
Ili NDOA iwe yenye FURAHA na AMANI haina budi Mwanaume kuwa ndiye mwenye hitaji la KUOA na Mwanamke anabakia kuitikia kwa UPENDO kinyume chake ni dhahiri HAPATAKUWEPO NA NDOA IMARA๐Ÿ’ฏ
Hasara aipatayo Mwanaume baada ya kuoa Mwanamke aliyehitaji yeye kuolewa na sio hitaji la Mwanaume ni kubwa sanaaa pindi Mwanamke huyo atakapokuwa amemfanya MSAIDIZI WA MAMBO YAKE NA WALA HANA UPENDO NAE TENA na hapo ndipo Mwanaume huyo anakuwa MKAMATA PANYA ๐Ÿ€NYUMBANI๐Ÿ˜‚
Mwanamke akiolewa kwa shinikizo hasara yake ni ndogo sana KUKOSA PENDO LA MOYO WAKE TU kwani Mwanaume huyo atakuwa anampenda lazima atampa heshima ya MKE.
Wanaume wanaoingia kwenye NDOA za Mwanamke kulazimisha mara nyingi huwa hawakwepi msemo wa wahenga;
• FAINALI UZEENI๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hapo ndipo Mwanaume hukosa mwelekeo zaidi atahitaji huruma kwa watoto alozaa na Mwanamke huyo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ikumbukwe kwamba MUME HANA URITHI KWA MKEWE utabakia Kuwa BABA WA MTOTO/WATOTO na dhamana yako ni hiyo, Hivyo ikiwa Mwanaume unazo akili USIINGIE MTEGO WA MWANAMKE ETII YEYE AWE MFADHILI KWENYE MAISHA YAKO ⛔️
Wanawake hawakawiii kujua UDHAIFU WA MWANAUME hivyo ujue akijua kuna mawili;
• UBEBWEE NA MTOTO/WATOTO.
• UBEBWEE NA MAZOEA YAKE KWAKO.
Kama hayo hayatakuwa kipaumbele cha Mwanamke kwako basi tarajia AIBU MAISHANI MWAKO.
Ikiwa Mwanamke ndiye atakupenda kabla ya wewe kumtamkia UPENDO juu yake niamini UPENDO WA MWANAMKE WA AINA HIYO HUWAKA KAMA MSHUMAA๐Ÿงจ taratibu moto huo huzimika na ukizimika tarajia kuwa ADUI WA MWANAMKE HUYO na kamwe hutaweza kumshawishi kwa lolote⛔️
Ndo maana nasisitiza Mwanaume kumiliki PESA kwanza ndipo uwazie kuwa na Mke kwani uwezo wa fikra za Mwanamke awapo na pesa zaidi yako ni ndogo mnooooo fuatilia wanaume wanaomilikiwa na wanawake huishia kuwa MAZUZU TU kazi yake kubwa kusimamia miradi ya Mkewe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Yaani kwa lugha laini KIJAKAZI๐Ÿ’ฏ
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz