Huna sababu ya kuumiza akili yako kwa kutaka kuthibitisha kwamba ulienaye anakupenda kweli au anakuzingua - EDUSPORTSTZ

Latest

Huna sababu ya kuumiza akili yako kwa kutaka kuthibitisha kwamba ulienaye anakupenda kweli au anakuzingua

. Mtu mwenye mapenzi ya kweli hajifichi, mtu mwenye kupenda kwa dhati utamjua tu kwa matendo yake.
Siku zote anayekupenda kwa dhati hana ubaguzi kwako wala kwa nasaba yako, hajali hali yako ya kimaisha wala uduni wa elimu yako, akili yake muda wote inatafsiri kila tendo lako katika namna bora na ya thamani.
Hatakuwa tayari kukukosa hata kwa siku moja, hamu yake ni kukuona kila wakati inapowezekana. Furaha yake ni kukuona ukiwa na amani ya moyo, huyo anakupenda kweli. Asikudanganye mtu bhana, mapenzi upofu.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz