Ewe mwanamke uliyezaa usiogope kumnyonyesha mwanao ukihofia maziwa kushuka. - EDUSPORTSTZ

Latest

Ewe mwanamke uliyezaa usiogope kumnyonyesha mwanao ukihofia maziwa kushuka.

MWANAMKE
Ewe mwanamke uliyezaa usiogope kumnyonyesha mwanao ukihofia maziwa kushuka.Huo ni ushamba tena ujinga ambao utakuja gharimu uzao wako.Wanaume msikubali wanawake zenu kunyonyesha mwezi mmoja au sita kisha kuwapa ongezeko LA gharama za kununua maziwa.
Zamani mabibi zetu walikuwa wana nyonyesha muda mrefu miaka mitatu-minne wengine mpaka mtoto alikuwa akienda shule akirudi ananyonya hapo ni darasa LA kwanza.
Walikuwa wanajua kuwa afya ya akili ya mtoto haipo kwenye misosi itayo mfanya anenepe,apendeze Bali IPO katika maziwa yatakayo mfanya mtoto kuwa Na akili.Ndo maana chunguza watu woote wenye akili sana,wasomi wakubwa historian zao walinyonyeshwa muda mrefu.Matatizo mengine ya watoto kutokuwa na uwezo mkubwa wa akili yanatokana na wazazi wenyewe kutopenda kunyonyesha watoto wao wakiwa wadogo.
Kama mama mtoto wako akikataa kunyonya tafuta njia uende hospitali yaweza kuwa maziwa ni machungu au hupati lishe nzuri yakuweza kutosheleza kuzalisha maziwa mengi.Au huwenda unatatizo LA kiafya.hakuna mtoto ambaye hapendi maziwa ya mama yake hiyo ndo siri ninayokupa.ukiona unatatizo hilo au mtoto wako anakataa kunyonya bhasi wahi kituo cha afya kwa uchunguzi.
Ulitaka kizazi kizuri chenye uelewa na uwezo mkubwa wa kiakili usione haya kunyonyesha muda mrefu. kiafya mtoto anatakiwa anyonye miaka miwili mpaka miwili na nusu.
#KUNYONYESHA_SI_USHAMBA




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz