BE YOU💪🏼 Hukuona wa kukupa THAMANI YAKO kwa namna ulivyoweza kujitoa kwa UPENDO kwao🤔 - EDUSPORTSTZ

Latest

BE YOU💪🏼 Hukuona wa kukupa THAMANI YAKO kwa namna ulivyoweza kujitoa kwa UPENDO kwao🤔


Ukajipa MOYO na kukabiliana na MAGUMU yote, Uliweza kujitenga na UONGO. UNAFIKI, PAMOJA NA KUKEMEA UDHAIFU kwa miaka kadhaa😭
Mwaka unaanza UMEILINDA IMANI lakini ndani yako umejawa upweke, Lakini kila ukikumbuka MAUMIVU ulipitia unauambia MOYO KOMA... Ghafla anatokea Mtu ukimtazama unahisi kama MUUJIZA anakusemesha unahisi FARAJA unajikuta UMEUKANA UVUMILIVU na mwili kukuita kwa MAHABA mara siku ya MAPENDO "valentine" inawadia unapokea UA 🌹zuri na CARD 📕 yenye wito wa MAPENZI na hapo ndipo unafuta UPWEKE wote na kuzama penzini. Haifai kuaminishwa UPENDO WA SIKU MOJA tafuta UPENDO WA MOYO na hapo ndipo utaiona THAMANI YAKO💯
UA linasinyaa, UA linakauka na mwisho kabisa LINAGEUKA KUWA UCHAFU je upo tayari kuwa kwenye PENDO LITAKALO KUWEPO KWA MAJIRA NA BAADAYE KUTOWEKA?
Liishi PENDO LA MOYO ufurahie MAISHA 💝 haya mambo ya kusubiri siku ya VALENTINE'S uone UPENDO wa Mtu wala usijiaminishe kwa hilo  Maana MNAWEZA KUPATA UA WENGI ila aliyependwa kwa MOYO asipewe UA ila anauishi UPENDO WA DHATI 💯
HAPPY VALENTINE'S DAY 2020
#Brayton__official_🔥🔥
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz