Aisee nimeamini kuwa 'Samaki mkunje angali mbichi' - EDUSPORTSTZ

Latest

Aisee nimeamini kuwa 'Samaki mkunje angali mbichi'

#Manung'uniko ya Mdau👇
Tabia hii niliichukulia kawaida hapo awali Ila sasa nimeichoka. Nikirudi tu toka kazini atakimbilia simu na:
1. Kuangalia sms (kisha atazifuta)
2. Kuangalia calls (na kuzifuta)
3. Akikuta namba ngeni lazima aulize
4. Simu ikipigwa akiwepo huikimbilia na kuiangalia.
Nimechoshwa haka ka tabia. Hebu nipeni muarobaini nimkomeshe na aache upuuzi huu.
NAPOKEA UPONYAJI.
POKEA UPONYAJI NUMBER 1 Kwani si uweke password na Wewe mbona mambo mengine simple.Weka password ya finger Print
Ya finger print haifai hata kidogo asjaribu mana akikutana na mwanamke mjanja anategeshewa siku aliyochoka sana akilala mwanamke anachukua sim anaenda kuigusisha kwenye kidole af ndo anaskilzia mziki wake Hahahaaaaa & this is proved
#Doctor_Naomi_Andrew
✍️Kwa smartphone ni uamuzi wako nini aone nini asione. (zipo app kibao za kuhide vitu)
✍️Je Mkeo anatumia kitochi au smart
✍️Kwa tabia hyo inaonyesha Mkeo yupo juu yako. Na maandiko matakatifu yanakataza. Mkanye mwambie hiyo si tabia njema ni kukukosea adabu.u.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz