TIMU ITAKAYOCHEZA NA SIMBA SC SIKU YA SIMBA DAY - EDUSPORTSTZ

Latest

TIMU ITAKAYOCHEZA NA SIMBA SC SIKU YA SIMBA DAY

Timu itakayocheza na Simba sc siku ya simba day yawekwa wazi
Timu itakayocheza na simba sc siku ya simba day yawekwa wazi

Zikiwa zimebaki siku chache klabu bingwa vpl simba sc, imekatakiu ya mashabiki wake kwa kuweka bayana timu watakayo minyana nayo siku ya simba day. Kupitia ofisa habari wa timu hiyo ndg Hajimanara ameongea nakuweka wazi kuhusu mchezo huo.



Manara ameeleza kuwa hivi sasa ni mapema sana kuitaja timu watakayocheza nayo kwani bado nguvu zao zipo katika maandalizi ya msimu ujao ambapo timu imeweka kambi Uturuki.

Manara amesema kuelekea tarehe 2 mpaka 3 Agosti timu hiyo itawekwa wazi lakini kwa sasa haiwezi kutajwa akieleza kuwa wakati mwafaka haujawadia.

Aidha, Manara amesema Simba inaendelea vema na mazoezi huko Uturuki ambapo kila hali ya mchezaji kiafya ipo salama na hakuna aliye majeruhi kwa wakati huu.

Kikosi hicho kimekuwa kikijifua kimazoezi ndani ya Uwanja na nje kwa maana ya kwenda gym kwa lengo la kuwapa wachezaji nguvu ya kuwapa stamina pindi wanapokuwa mchezoni.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz