KWA KIKOSI HIKI SIMBA ITACHOMOKA KWELI????? - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 4 June 2018

KWA KIKOSI HIKI SIMBA ITACHOMOKA KWELI?????


mashabiki wa simba wakisubiri kwa hamu mtanange
zikiwa zimebaki dakika chache maelfu ya watanzania na wakenya kushudia mtanange kati ya simba na Kariobangi, uongozi wa simba umetoa kikosi rasmi kitakacho minyana na timu hiyo. kitazame hapa kikosi hicho

KWA KIKOSI HIKI SIMBA ITACHOMOKA KWELI?????

1. Aishi Manula
2. Ally Shomari
3. Hussein Zimbwe
4. Paul Bukaba
5. Yusuf Mlipili
6. Erasto Nyoni
7. Jonas Mkude
8. Shomari Kapombe
9. Rashid Mohammed
10. Ibrahim Mohammed
11. Haruna Niyonzima

Kikosi cha akiba

12. Salim Ally
13. Moses Kitandu
14. Rashid Juma
15. Marcel Kaheza
16. Shiza Kichuya
17. Muzamiru Yassin

#SportsPesaSuperCup

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:

Delivered by EDUSPORTSTZ