TAZAMA PICHA ZA NYOKA MKUBWA MWENYE UREFU WA MIGUU 26 - EDUSPORTSTZ

Latest

TAZAMA PICHA ZA NYOKA MKUBWA MWENYE UREFU WA MIGUU 26


Nyoka aina ya Anaconda

Brazil wamefanikiwa kumuona nyoko mkubwa duniani aina ya Anaconda mwenye urefu wa hatua kumi za miguu.Wazamiaji hao ambao wamesema toka waanze kazi hiyo hawajawai kukutana na kiumbe kikubwa na chaajabu kama huyo nyoka 
Wakielezea wazamiaji hao baada ya kumpiga picha Nyoka huyo walisema nyoka huyo walimkuta akiogera kuelekea nchi kavu katika mto huo maarufu kama Rain Forest wamesema nyoka anakadiriwa kuwa na urefu zaidi ya hatua 26 za miguu.

Urefu huo wa Nyoka huyo aina ya Anakonda amevunja record baada ya kuingia katika Record Guiness , kabla ya Nyoka huyo kuvnja Record hizo za Dunia, Nyoka aliepewa jina la world’s longest snake ndio nyoka aliekua anashikilia Record hizo akiwaa naurefu unaokadiriwa wa urefu wa hatua za miguu 25.
Mchambuzi Dennis Magessa
Hapo chini kabisa ni video jinsi walivyokuwa wanamfanyia utafiti

anaconda snakeDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz