TAARIFA RASMI YA MWANAFUNZI WA SAUT KUJINYONGA BAADA YA LIVERPOOL KUFUNGWA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Monday, 28 May 2018

TAARIFA RASMI YA MWANAFUNZI WA SAUT KUJINYONGA BAADA YA LIVERPOOL KUFUNGWA

Baada ya fainali kati ya liverpool dhidi ya Real madrid imeleta majonzi kwa wanafunzi wa SAUT tawi la mbeya baada ya mwanafunzi mmoja kujinyonga.

mwanafunzi huyo alifahamika kwa jina la MOSES MASHAKA katika kitivo cha Elimu amejinyonga baada ya kubeti na kumpa liverpool ashinde katika mechi hiyo.

Polisi wamethibitisha kifo cha chanzo cha habari hiyo kwamba kimetokana na mechi hiyo ambayo aliibetia