HATMA YA BALE MADRID HII HAPA - EDUSPORTSTZ

Latest

HATMA YA BALE MADRID HII HAPABaada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali wa Real madrid na liverpool Man of the match wa mchezo huo alihojiwa na waandishi wa habari juu ya mustakabari wake ndani ya madrid kwa msimu Ujao.

katika mahojiano hayo Bale alijibu kama ifuatavyo"nimekuwa sawa kwa msimu mzima na malengo yangu ni kuwa sehemu ya timu kila juma lakini haikuwa hivyo kwangu kwa msimu mzima"

Kwa majibu hayo inaelezwa bale hafurahishwi na maisha ya sentiago bernabeu kutokana kutopata nafasi ya kuanza mara kwa mara katika kikosi hicho.

Katika mahojiano hayo bale alijibu ya kwamba ataongea na meneja wake juu ya uwezekano wake wa kubaki katika miamna hiyo ya bernabeu au La.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz