SIMBA KUPAMBANA NA LIPULI HUKU MCHEZAJI NYOTA AKIKOSEKANA - EDUSPORTSTZ

Latest

SIMBA KUPAMBANA NA LIPULI HUKU MCHEZAJI NYOTA AKIKOSEKANAImage result for simba sc
Kikosi cha Simba kinashuka dimbani Uwanja wa Samora mjini Iringa kikiwa mgeni dhidi ya Lipuli.

Simba itakuwa inacheza bila kiungo wake Jonas Mkude ambaye atakosekana kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

Mkude atalazimika kusubiri mechi dhidi ya watani zake wa jadi utakaopigwa Aprili 29 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Kiungo James Kotei ndiye atakuwa mbadala wa Mkude katika sehemu ya kiungo kutokana na kufanana aina ya mchezo wanaocheza.

Mechi dhidi ya Lipuli leo itaanza saa 10 kamili jioni.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz