OMBI LA HAJI MANARA KWA DIAMOND KUHUSU KOLABO - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Sunday, 29 April 2018

OMBI LA HAJI MANARA KWA DIAMOND KUHUSU KOLABO


Wakati vita ya mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga ikitarajiwa kuanza masaa kadhaa yajayo, Ofisa
Habari wa Simba, Haji Manara amemtaka Msanii Diamond Platnum kuandaa wimbo wa pamoja.

Manara ambaye ni shabiki wa kutupwa wa msanii huyo, amemtaka Platnumz kufanya naye mazungumzo kesho kuhusiana na collabo hiyo aliyopanga kufanya naye.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Platnumz aliweka komenti katika moja ya posti za Manara leo akijinasibu kwa kuandika 'This is Simbaaa" yaani Hii ndiyo Simbaa'.


Manara naye alikuja kumjibu Platnumz kuwa ameshaandaa dude 'Wimbo' hivyo anaomba kuzungumza naye kwa kesho ili waweze kuandaa huo wimbo pamoja.


"Diamond Platnumz Babu kesho nitakutafuta, nina dude nimelitengeneza nataka tufanye collabo" aliandika Manara.EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ