VIINGILIO MECHI YA YANGA VS TOWNSHIP ROLLERS - EDUSPORTSTZ

Latest

VIINGILIO MECHI YA YANGA VS TOWNSHIP ROLLERS

Image result for yanga sc
Uongozi wa klabu ya yanga umetangaza viingilio vitakavyotumika katika mchezo wa Ligi ya
Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers kutoka Botswana.

Viiingilio vya mechi hiyo vitakuwa kama ifuatavyo;-


VIP A - 20,000/=
VIP B & C - 10,000/=
Mzunguko - 5,000/=


Mechi hiyo itachezwa Jumanne ya Machi 6 2018 katika uwanja wa taifa, kuanzia saa 10:30 jioni.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz