TIMU YA MSUVA YATUPWA KUNDI B, RATIBA KAMILI YA KLABU BINGWA AFRIKA HII HAPA - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 22 March 2018

TIMU YA MSUVA YATUPWA KUNDI B, RATIBA KAMILI YA KLABU BINGWA AFRIKA HII HAPA

Nembo ya shirikisho la  Kansas Africa 

Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) usiku wa kuamkia leo imetoa ratiba ya makundi Ligi ya Mabingwa Ritz Carlton, jijini Cairo, Misri.

KIUNGO mshambuliaji Mtanzania anayecheza soka la kulipwa Klabu ya Difaa El Jadida ya nchini Morocco, Simon Msuva wameangukia katika kundi B pamoja na timu za TP Mazembe, E.S. Setifienne, na Mouloudia Club.

Ratiba ya Kombe la klabu bingwa AfrikaEDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment