RATIBA YA KOMBE SHIRIKISHO: YANGA KUKIPIGA NA WOLAITTA DICHA YA ETHIOPIA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Thursday, 22 March 2018

RATIBA YA KOMBE SHIRIKISHO: YANGA KUKIPIGA NA WOLAITTA DICHA YA ETHIOPIA

Kikosi cha timu ya yanga
Kombe la Shirikisho makundi yamepangwa kufuatana na matokeo ya timu 32 ambazo timu hizo zimecheza katika miaka mitano iliyopita na michezo hiyo itapigwa tarebe 6,7 mwezi wa nne na mechi za marudiano ni tarehe 17 na 18 mwezi wa nne mwaka huu.

Klabu ya Yanga imepangwa na Wolaitta Dicha SC ya Ethiopia.

Ratiba ya Kombe la shirikisho 

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ