MASTORI JUU YA TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA - EDUSPORTSTZ

Latest

MASTORI JUU YA TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA


Philippe Coutinho anasema kuwa angependelea mshambuliaji wa Brazil mwenye umri wa miaka 26 Neymar kurudi Barcelona

Philippe Coutinho anasema kuwa angependelea mshambuliaji wa Brazil mwenye umri wa miaka 26 Neymar kurudi Barcelona . Neymar alijiunga na PSG kutoka Barca kwa dau lililovunja rekodi la £198m mwisho wa msimu uliopita kabla ya mchezaji mwenza wa Brazil Coutinho, 25, kuelekea Nou Camp kutoka Liverpool mnamo mwezi Januari. (Mail)

Mkufunzi wa Napoli Maurizio Sarri ameomba msamaha kwa matamshi ya ubaguzi wa kijinsia aliyotoa kwa mwanahabari mmoja wa kike baada ya mechi ya ligi ya seria A siku ya Jumapili.. (Mail)
Aliyekuwa kocha wa Souampton Mauricio Pelegrini

Aliyekuwa mkufunzi wa Watford Marco Silva ni miongoni mwa wakufunzi wanaopigiwa upatu kuchukua kazi ya kuikochi Southampton kufuatia hatua ya klabu hiyo kumfuta kazi kazi kocha wake Mauricio P
Chelsea inamnyatia kipa wa AC Milan Gianluigi Donnarumma, 19, iwapo kipa wa Ubelgiji Thibaut Courtois, 25
ellegrino siku ya Jumatatu.. (Mail)
Chelsea inamnyatia kipa wa AC Milan Gianluigi Donnarumma, 19, iwapo kipa wa Ubelgiji Thibaut Courtois, 25, ataondoka Stamford Bridge. (Corriere dello Sport, via Talksport)

Newcastle itajaribu kumsajili winga wa Chelsea aliyepo katika klabu hiyo kwa mkopo kwa mkataba wa kudumu lakini italazimika kulipa hadi £15m kumnunua mchezaji huyo wa Brazil ,mwenye umri wa miaka 22. (Mirror)
mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 26,

Newcastle, Leicester na Southampton wanamtaka winga wa Burnley mwenye umri wa miaka 27 Johann Berg Gudmundsson. (Sun)Barcelona imekuwa ikimnyatia kwa miezi kadhaa sasa mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 26,

Barcelona imekuwa ikimnyatia kwa miezi kadhaa sasa mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 26, baada ya mchezaji huyo kutokubaliana na Atletico Madrid kuhusu kuongezewa kandarasi yake. (Le10sport.com - in French)
Massimiliano Allegri

Mkufunzi wa West Brom Alan Pardew atasalia katika klabu hiyo licha ya kuwa na mpango wa kumsajili kocha mpya mwisho wa msimu huu (Mirror)Arsenal inamchunguza mkufunzi wa Juventus Massimiliano Allegri baada ya kufurahishwa na hatua ya kuibandua Tottenham katika kombe la vilabu bingwa . (star)

Arsenal inamchunguza mkufunzi wa Juventus Massimiliano Allegri baada ya kufurahishwa na hatua ya kuibandua Tottenham katika kombe la vilabu bingwa . (star)
Hector Bellerin kulia wa klabu ya Arsenal

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Paul Merson anaamini kwamba mkufunzi wa Celtic Brendan Rodgers anafaa kumrithi Arsene Wenger kuwa mkufunzi wa Gunners . (Sky Sports, via Express)

Arsenal iko tayari kumuuza Hector Bellerin ili kusaidia kujijenga upya , lakini wanataka £50m kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22. Klabu ya Juventus imeonyesha hamu ya kumsajili mchezaji huyo wa Uhispania.

Chaznzo; bbc
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz