SABABU ZILIZOIFANYA TPLB KUPANGUA RATIBA YA LIGI KUU BARA - EDUSPORTSTZ

Latest

SABABU ZILIZOIFANYA TPLB KUPANGUA RATIBA YA LIGI KUU BARABodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imepangua tena ratiba ya ligi hiyo kutokana na sababu mbalimbali ikowemo ya Simba na Yanga kushiriki kimataifa.

Mchezo kati ya Simba dhidi ya Stand United ambao ulikuwa ufanyike Machi 4 umerudishwa nyuma siku mbili ili kuwapa nafasi Wekundu hao kujiandaa na mchezo wa kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry.

Mechi kati ya Mtibwa dhidi ya Yanga iliyokuwa ichezwe Machi 3 imeondolewa na itapangiwa tarehe nyingine ili kuwapa nafasi Yanga kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Township Rolllers.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz