BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 6 February 2018

REFA ALIYETAKIWA KUWAAMUA SIMBA VS AZAM ABADILISHWA


Image result for SIMBA NA AZAM
Mwamuzi Jonesia Lukyaa aliyekuwa achezeshe mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya Azam FC, amebadilishwa.Simba na Azam FC ambazo zinachuana kileleni mwa Ligi Kuu Bara, zinavaana kesho katika mechi inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini.


Taarifa zinaeleza mwamuzi huyo mwanamama mwenye beji ya Fifa amebadilishwa na nafasi yake amepewa mwamuzi mwingine.


“Nafasi yake amepewa Emmanuel Mwandengwa, hivyo hatachezesha,” kilieleza chanzo.


Hata hivyo, hakukuwa na ufafanuzi kuhusiana na suala hilo la uamuzi wa kumbadili siku chache kabla ya mechi.
NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment