MATOKEO YA MECHI ZA LEO NA MSIMAMO WA LIGI KUU VPL - EDUSPORTSTZ

Latest

MATOKEO YA MECHI ZA LEO NA MSIMAMO WA LIGI KUU VPL

Image result for football
Mpira umekwisha mechi mbili za leo ambapo Mtibwa Sugar imeangukia pua kwa kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Ruvu Shooting katika dimba la Manungu wakati Tanzania Prisons ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui FC katika dimba la Sokoine jijini Mbeya.

MSIMAMO: Baada ya mechi sita za raundi ya 19, msimamo wa ligi unaonesha Tanzania Prisons imepanda hadi nafasi ya tano ikiishusha Mtibwa Sugar hadi nafasi ya sita, huku Ruvu Shooting 'Wazee wa kupapasa' wakizidi kuchanja mbunga hadi nafasi ya saba.Translate from Indonesian

Elimu Yetu
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz