MATOKEO NA MSIMAMO WA LIGI KUU VPL BAADA YA MCHEZO WA LEO - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 26 February 2018

MATOKEO NA MSIMAMO WA LIGI KUU VPL BAADA YA MCHEZO WA LEO

Simba wazidi kuonesha ubora wao kitka kipindi hiki baada ya kuifunga mbao mabao 5 bila dhidi ya Mbao FC, huku Mbao wakipata pigo kwa nahodha wake Yusuph Ndikumana akitolewa kwa kadi nyekundu.


Nini maoni yako kuelekea ubigwa msimu huu!!??

MSIMAMO WA LIGI

Baada ya Simba kukamilisha kiporo chake cha raundi ya 19 ya VPL kwa ushindi wa mabao 5-0, msimo wa ligi umekaa namna hii...

Imebaki mechi moja, ambayo ni Ndanda FC vs Yanga SC ambayo itapigwa Jumatano wiki hii na itakuwa

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment