BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 12 February 2018

KIMENUKA;MANGE KIMAMBI ATOBOA SIRI NZITO KATI YA DIAMOND NA RUGE

 Image result for ruge na diamond
Mange bkimambi kupitia ukurasa wake wa instagram ameanza kuandika maneno haya;

Mimi Tena nilete janja janja ya Sallam toka lini?? .
.
Story iko hivi. Mnaonijua toka enzi za uturn I think mtakuwa mnakumbuka kuwa nilishawahi kuwaambia kuwa meneja wa Diamond ni Ruge sio hao mashankupe kina Sallam.Hii ilikuwa ni siri kubwa mnoo. 

Ruge ndie aliekuwa meneja wa Diamond tangu Diamond anaanza mziki. Ruge ndio the brains behind success ya Diamond Platnumz. He is the mastermind ya career ya huyo mtoto.Ruge ndie aliewaomba Salaam na BabuTale wajifanye wao ndo mameneja wa Diamond. 

Si mnajua ingejulikan Diamond meneja wake Ruge Maneno yangekuwa mengi kuwa anabebwa na clouds and so forth. 

Ndo maana mnaona Diamond alikuwa anapata connection za collabo na wasaniii wa nje wengiii wakawa wanajifanya eti Sallam ndo anaetafuta hizo deals no it was all Ruge sabbau Ruge anajuana na hao watu wooote.Sasa miaka yoooote hii, Cut ya meneja aliekuwa anaila ni Ruge. 

Yani kila kazi aliyokuwa anafanya Diamond cut alikuwa anabeba Ruge then Ruge ndo anawapa chao kina Salaam na Babutale..
.
.
Hata Yamoto band meneja wao alikuwa Ruge sio BabuTale. Kama Aslay ataweza kuongea ukweli atawaambia Babutale alikuwa cover tu. Na ndo maana Yamoto Band waliblow up, na ndo maana Diamond aliblow up, It was all Ruge behind the scenes. Hata Lady Jaydee meneja wake alikuwaga Ruge.
.
.
Ngojeni niwaambieni kitu Ruge ana matatizo tena makubwa most ya matatizo la Ruge ni kwenye kuwanyenga wasaniii pesa. Hilo ndo tatizo la Ruge.Ila jamani naomba niwaambie Tanzania nzimaaaa kwenye entertainment industry hakuna kichwa kama Ruge. 

Jamani yule kaka sio mtu wa nchi hiii. Anajua entertainment.Na ndo maana Diamond alitulia na Ruge miaka yote hii, yawezekana Ruge alikuwa anamuonea cut yake ila mwisho wa siku alim-manage vizuri mnoo. Mimi nna ushahidi wa Ruge kumnyenga Diamond pesa. 

Mnakumbuka Diamond alisemaga kuwa Show kubwa aliyowahi kulipwa maisha yake yooote ni Diamonds are forever , jamani muongo ile show Diamond hakupewa hata senti na Ruge. 

Ile show mi mwenyewe kidogo ninyonyane macho na Ruge sababu alitaka kuniingiza mjini.Niliandaa ile show na Ruge Ila Diamond sababu Ruge meneja wake na anaona anapoifikisha career yake akawa anasema ile show ndo alillipwa sana.hayo ndo matatizo ya RugeMimi Tena nilete janja janja ya Sallam toka lini?? .
.
Story iko hivi. Mnaonijua toka enzi za uturn I think mtakuwa mnakumbuka kuwa nilishawahi kuwaambia kuwa meneja wa Diamond ni Ruge sio hao mashankupe kina Sallam.Hii ilikuwa ni siri kubwa mnoo. 

Ruge ndie aliekuwa meneja wa Diamond tangu Diamond anaanza mziki. Ruge ndio the brains behind success ya Diamond Platnumz. He is the mastermind ya career ya huyo mtoto.Ruge ndie aliewaomba Salaam na BabuTale wajifanye wao ndo mameneja wa Diamond. 

Si mnajua ingejulikan Diamond meneja wake Ruge Maneno yangekuwa mengi kuwa anabebwa na clouds and so forth. 

Ndo maana mnaona Diamond alikuwa anapata connection za collabo na wasaniii wa nje wengiii wakawa wanajifanya eti Sallam ndo anaetafuta hizo deals no it was all Ruge sabbau Ruge anajuana na hao watu wooote.Sasa miaka yoooote hii, Cut ya meneja aliekuwa anaila ni Ruge. 

Yani kila kazi aliyokuwa anafanya Diamond cut alikuwa anabeba Ruge then Ruge ndo anawapa chao kina Salaam na Babutale..
.
.
Hata Yamoto band meneja wao alikuwa Ruge sio BabuTale. Kama Aslay ataweza kuongea ukweli atawaambia Babutale alikuwa cover tu. Na ndo maana Yamoto Band waliblow up, na ndo maana Diamond aliblow up, It was all Ruge behind the scenes. Hata Lady Jaydee meneja wake alikuwaga Ruge.
.
.
Ngojeni niwaambieni kitu Ruge ana matatizo tena makubwa most ya matatizo la Ruge ni kwenye kuwanyenga wasaniii pesa. Hilo ndo tatizo la Ruge.Ila jamani naomba niwaambie Tanzania nzimaaaa kwenye entertainment industry hakuna kichwa kama Ruge. 

Jamani yule kaka sio mtu wa nchi hiii. Anajua entertainment.Na ndo maana Diamond alitulia na Ruge miaka yote hii, yawezekana Ruge alikuwa anamuonea cut yake ila mwisho wa siku alim-manage vizuri mnoo. Mimi nna ushahidi wa Ruge kumnyenga Diamond pesa. 

Mnakumbuka Diamond alisemaga kuwa Show kubwa aliyowahi kulipwa maisha yake yooote ni Diamonds are forever , jamani muongo ile show Diamond hakupewa hata senti na Ruge. 

Ile show mi mwenyewe kidogo ninyonyane macho na Ruge sababu alitaka kuniingiza mjini.Niliandaa ile show na Ruge Ila Diamond sababu Ruge meneja wake na anaona anapoifikisha career yake akawa anasema ile show ndo alillipwa sana.hayo ndo matatizo ya Ruge.Pia amemmalizia kwa kuandika ;

Part 2.
Ila baadae Diamond alikuja kuwa mjanja akawa hakubali kabisa Ruge kumnyenga, wakawa wanaenda sawa. Anyways Diamond makes a lot of money so Ruge definitely alikuwa hamwibiii kihivyo. Na nawaambia 100% bila Ruge Diamond asingekuwa hapo alipo...
.
.
Okay nishawapa historia fupi ya Ruge na Diamond. Sasa tuende mbele kidogo.
.
.
Hii story ntakayotoa hapa nahisi hata Ruge na clouds nzima leo watapa msiba mkubwaaaa mnoooo.....Joseph Kusaga ameamua kuivest pesa yake sehemu ingine. 

Na hiyo sehemu ni Diamond. Apparently ni kwamba Clouds kuna matatizo makubwa, na Ruge amekuwa dizaini kama anamsumbua Kusaga kuhusu ownership. Ukweli ni kwamba hakuna clouds FM bila Ruge Mutahaba. Ruge is the brains behind clouds. 

Ruge akiondoka cloudsleo, kesho tutawasahau clouds Fm. Jamani tumchukue tunavyotaka the man is a fucking genius
Kimambi ameyaandika yafuatayo,
Part 1. Mimi Tena nilete janja janja ya Sallam toka lini?? . . Story iko hivi. Mnaonijua toka enzi za uturn I think mtakuwa mnakumbuka kuwa nilishawahi kuwaambia kuwa meneja wa Diamond ni Ruge sio hao mashankupe kina Sallam.Hii ilikuwa ni siri kubwa mnoo. Ruge ndie aliekuwa meneja wa Diamond tangu Diamond anaanza mziki. Ruge ndio the brains behind success ya Diamond Platnumz. He is the mastermind ya career ya huyo mtoto.Ruge ndie aliewaomba Salaam na BabuTale wajifanye wao ndo mameneja wa Diamond. Si mnajua ingejulikan Diamond meneja wake Ruge Maneno yangekuwa mengi kuwa anabebwa na clouds and so forth. Ndo maana mnaona Diamond alikuwa anapata connection za collabo na wasaniii wa nje wengiii wakawa wanajifanya eti Sallam ndo anaetafuta hizo deals no it was all Ruge sabbau Ruge anajuana na hao watu wooote.Sasa miaka yoooote hii, Cut ya meneja aliekuwa anaila ni Ruge. Yani kila kazi aliyokuwa anafanya Diamond cut alikuwa anabeba Ruge then Ruge ndo anawapa chao kina Salaam na Babutale.. . . Hata Yamoto band meneja wao alikuwa Ruge sio BabuTale. Kama Aslay ataweza kuongea ukweli atawaambia Babutale alikuwa cover tu. Na ndo maana Yamoto Band waliblow up, na ndo maana Diamond aliblow up, It was all Ruge behind the scenes. Hata Lady Jaydee meneja wake alikuwaga Ruge. . . Ngojeni niwaambieni kitu Ruge ana matatizo tena makubwa most ya matatizo la Ruge ni kwenye kuwanyenga wasaniii pesa. Hilo ndo tatizo la Ruge.Ila jamani naomba niwaambie Tanzania nzimaaaa kwenye entertainment industry hakuna kichwa kama Ruge. Jamani yule kaka sio mtu wa nchi hiii. Anajua entertainment.Na ndo maana Diamond alitulia na Ruge miaka yote hii, yawezekana Ruge alikuwa anamuonea cut yake ila mwisho wa siku alim-manage vizuri mnoo. Mimi nna ushahidi wa Ruge kumnyenga Diamond pesa. Mnakumbuka Diamond alisemaga kuwa Show kubwa aliyowahi kulipwa maisha yake yooote ni Diamonds are forever , jamani muongo ile show Diamond hakupewa hata senti na Ruge. Ile show mi mwenyewe kidogo ninyonyane macho na Ruge sababu alitaka kuniingiza mjini.Niliandaa ile show na Ruge Ila Diamond sababu Ruge meneja wake na anaona anapoifikisha career yake akawa anasema ile show ndo alillipwa sana.hayo ndo matatizo ya Ruge
A post shared by Mange Kimambi (@mangekimambi_) on

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment