TEGETE AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU TUKIO LA JUMA NYOSSO - EDUSPORTSTZ

Latest

TEGETE AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU TUKIO LA JUMA NYOSSO

 MCHEZAJI WA KAGERA SUGAR

January 22 2018 beki wa Kagera Sugar Juma Nyosso alijikuta akiingia matatizoni baada ya  akikamatwa na Polisi kwa madai ya kumpiga shabiki na kuzimia baada ya mchezo wao dhidi ya Simba uliyomalizika kwa Simbakupata ushindi wa magoli 2-0.


Baada ya kila mmoja kupokea kwa mtazamo tofauti kitendo cha Juma Nyosso kudaiwa kumpiga shabiki hadi kupoteza fahamu, staa wa zamani wa Yanga Jerson Tegete ameandika ujumbe huu katika instagram account yake kuhusina na ishu hiyo “Tusilione kwa Juma Nyosso tu, mashabiki pia watambue mipaka yao”
Elimu Yetu
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz