SOMA ALICHOKIANDIKA ZITTO KABWE MARA BAADA YA KUZUIWA NA JESHI LA POLISI KUFANYA MKUTANO - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

Wednesday, 17 January 2018

SOMA ALICHOKIANDIKA ZITTO KABWE MARA BAADA YA KUZUIWA NA JESHI LA POLISI KUFANYA MKUTANO


ILI KUTUMIWA HABARI KWA WAKATI NA POPOTE ULIPO, USIKOSE KUFOLLOW NA KUSUBSCRIBE BLOG YETU NA MITANDAO YETU A KIJAMII CHINI YA POST HII
January 16, 2018 Mbunge Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT wazalendo Zitto Zuber Kabwe ameonesha kutokuridhishwa na uamuzi wa jeshi la polisi mkoani Kigoma baada ya kuzuia Mkutano wa hadhara wa Mbunge huyo.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook Zitto Kabwe ameandika “Jeshi la polisi limezuia Mkutano wangu wa hadhara kama Mbunge wa Kigoma Mjini kinyume na sheria ya Bunge ya mwaka 1988. Sheria ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayolazimisha Mbunge kufanya mkutano kwenye jimbo lake bila vikwazo”.

“Sitaki kuwapa polisi sifa ya kupambana nasi. Tumeghairisha mkutano mpaka siku ya jumamosi, tumewaandikia barua rasmi kuwa sheria waliyoinukuu sio sheria halali na haihusiani na mikutano ya Mbunge kwenye jimbo lake. Sheria wanayopaswa kunukuu ni sheria namba 3 ya mwaka 1988 kifungu cha 4(1). “- Zitto Kabwe

“Ofisi yangu itamwandikia Spika wa Bunge rasmi kuhusu suala hili ili lisifanyike kwa Mbunge mwingine yeyote”. -Zitto Kabwe
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ