BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 12 January 2018

SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ZAFAANA HUKU VIONGOZI WA KITAIFA WAKIHUDHRIA KWA WINGI


Viongozi Mbalimbali Waambatana na Rais Shein, Magufuli Katika Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi

Idadi kubwa ya viongozi mbalimbali wa Serikali na wastaafu wamejitokeza kuhudhuria katika sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika sasa katika viwanja wa Amaan vilivyopo Unguja visiwani Zanzibar.

Rais wa Zanzibar, Dk Mohammed Shein anaongoza sherehe hizo akiwa sambamba na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli sambamba na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na baadhi ya mawaziri, naibu mawaziri na wabunge mbalimbali.

Baadhi ya viongozi wastaafu waliohudhuria sherehe hizo ni pamoja na marais wastaafu akiwemo, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete, Aman Abeid Karume na baadhi ya makamu wa Rais wastaafu akiwemo Mohamed Gharib Bilal
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
 Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment