POLEPOLE AWAVAA CHADEMA KUPITIA TWITTER - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 19 January 2018

POLEPOLE AWAVAA CHADEMA KUPITIA TWITTER

Humphrey Polepole
NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.

Msemaji wa chama cha  mapinduzi Humprey  polepole kupitia ukurasa wake wa twitter ameonesha kukerwa na msimamo wa CHADEMA kujito katika mchakato wa uchaguzi katika baadhi ya majimbo ikiwemo singida kaskazini.

polepole ameendelea kudai kuwa Chadema haiheshimu usawa wa haki za binadamu kwani hawatendei haki wananchi.
Natafakari, wagombea waliokataliwa kugombea kupitia CDM Singida Kaskazini, Songea Mjini na Longido sijui wanajisikiaje kusikia Mwenzao wa SIHA anachukua fomu tar 19/1/18. Hasara ya kuwa na Chama kisichoheshimu Usawa wa Binadamu. Kataa kukomazwa Kikamanda wakati wenzio wanapeta HQ


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment