MATOKEO YA MECHI ZA JUMAPILI NA MSIMAMO WA LIGI KUU EPL - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Monday, 15 January 2018

MATOKEO YA MECHI ZA JUMAPILI NA MSIMAMO WA LIGI KUU EPL

Klabu za Manchester City na Arsenal jana zimepokea vichapo katika michezo yao ya maendelezo wa ligi kuu England.

Arsenal akiwa ugenini alikubali kipigo cha goli 2-1 dhidi ya Bournemouth huku Manchester City wao wakifa pale Unfield kunako uwanja wa liverpool kwa goli 4-3.
Licha ya kufungwa bado klabu ya Manchester City imeendelea kushikilia usukani wa ligi hiyo huku ikiwa napoint ,62

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ