BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 23 January 2018

MAHOJIANO YA DIAMOND PLATINUMZ NA KISS FM YA RWANDAMsanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa tangu amtongoze mzazi mwenzie, Zari mwaka 2014 ndio ilikuwa mara yake ya mwisho kufanya hivyo hajawahi tena kutongoza mwanamke mwingine.

Diamond Platnumz amesema kuwa hawajahi kutongoza mwanamke mwingine kwa sababu yupo na Zari tofauti na kipindi cha nyuma kabla ya kuwa maarufu.

Akijibu swali kwenye mahojiano yake na Kituo cha Radio cha Kiss FM cha nchini Rwanda, swali lililohoji kuwa alishawahi kukataliwa na mwanamke kabla ya umaarufu wake? Diamond alijibu kwa kusema ‘ndio tena wengi tu kwanini isitokee“.

Na alipoulizwa ni lini mara yake ya mwisho kukataliwa na mwanamke au kusikia neno hapana kutoka kwa mwanamke Diamond Platnumz amesema “tangu nimtongoze Zari, hadi sasa sijawahi kutongoza msichana mwingine“.

Diamond Platnumz wikiendi iliyopita alikuwa nchini Rwanda ambapo akiwa huko alitembelea kituo cha Jordan Foundation kinacholea watoto wenye ulemavu wa macho (Vipofu).
NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment