YANGA KESHO KUTINGA MWANZA KWA NDEGE - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 28 December 2017

YANGA KESHO KUTINGA MWANZA KWA NDEGEYanga itaondoka keshoIjumaa kwenda Mwanza kuivaa Mbao FC ya Mwanza.Yanga italazimika kuondoka na ndege ya kukodi kwenda Mwanza kwa ajili ya mechi hiyo itakayopigwa wikiendi hii, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Hussein Nyika amethibitisha.


Awali Yanga ilikuwa iondoke kesho lakini ilishindikana baada ya kutopata tiketi mapema.Taarifa zinaeleza, Yanga inalazimika kwenda Mwanza Ijumaa baada ya kukosa tiketi za ndege.EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment