
Alichoandika Joti, Diamond na Idriss Baada ya Rais Magufuli Kutoa Msamaha kwa Babu Seya
Baada ya kauli ya Rais JPM aliyoitoa leo December 09, 2017 kuhusu kuwapa uhuru waimbaji wawili wa muziki wa muziki wa dansi nchini ambao ni Babu Seya na mwanae Papii Kocha baada ya kuwa gerezani kwa miaka 13 sasa, Mastaa wengine wamendika haya kwenye Instagram page zao.
Mastaa hao ni pamoja na Diamond Platnumz ambaye yeye ameandika….>>>“MORE THAN A PRESIDENT…..TANZANIA IS SO LUCKY TO HAVE YOU…..HAPPY INDEPENDENCE DAY TO ALL MY FELLOW TANZANIANS..!!!” – DIAMOND PLATNUMZ
Mchekeshaji Joti naye aliposti video akiimba wimbo wa Seya na kuandika..>>>” Hakika Mungu huwa hasinzii,Mungu ni hakimu wa kweli,Nasema usikate tamaa kama bado unapumua…karibuni Papii kocha & Nguza kitaani tupige kazi..💪Asante JPM umenifurahisha sana naomba unitafute nina zawadi yako🎁🎁🤣🤣🤣👏👏 “ JOTI
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
No comments:
Post a Comment