OMBI LA CR7 LAGONGA MWAMBA MBELE YA BARCELONA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 19 December 2017

OMBI LA CR7 LAGONGA MWAMBA MBELE YA BARCELONA


Usiku wa December 16 2017 club ya Real Madrid ya Hispania ilifanikiwa kutwaa taji la pili mfululizo la club Bingwa Dunia kwa kuifunga Gremio katika mchezo wa fainali kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Ronaldo kwa faulo.

Staa wa soka wa Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo kuelekea mchezo wao wa El Clasico dhidi ya FC Barcelona watakaoucheza siku ya Jumamosi December 23 2017, amewataka wachezaji wa FC Barcelona kuwawekea Real Madrid Guard of Honour wakati wanaingia uwanjani kutokana na Real Madrid kuwa mabingwa wa Ulaya na wametwaa taji la Club Bingwa Dunia.

Muda mchachee baada ya taarifa hizo kutoka mkurugenzi wa Barcelona Guillermo Amor amethibitisha kuwa Barcelona hawatowawekea Real Madrid a guard of honour kwa sababu hiyo sio sharia pili inatokea endapo Barcelona angekuwa kashiriki Ubingwa wa Dunia na yeye.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

No comments:

Post a Comment