MPYA KUTOKA YANGA HII HAPA - EDUSPORTSTZ

Latest

MPYA KUTOKA YANGA HII HAPA





Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kaimu Mwenyekiti wake, Clement Sanga, leo umetangaza kuteua rasmi Kamati ya mabadiliko.

Wafuatao ndiyo walioteuliwa

1. Alex Mgongolwa - Mwenyekiti - Mwanasheria

2. Profesa Mgongo Fimbo - Mtaalam wa Katiba na Sheria za Ardhi

3. Meki Sadiki - Mkuu wa Mkoa Mstaafu

4. Mohamed Nyenge - Mchumi na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchumi na Fedha

5. George Fumbuka - Mshauri wa Masuala ya Uwekezaji

6. Felix Mlaki - Mchumi na Mtaalam wa Masuala ya Fedha


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz