MATOKEO YA MECHI ZA JANA CHAMPIONS LEAGUE NA TIMU 16 BORA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 7 December 2017

MATOKEO YA MECHI ZA JANA CHAMPIONS LEAGUE NA TIMU 16 BORAUsiku wa December 6 2017 hatua ya makundi ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2017/2018 ilimalizika rasmi kwa game nane kuchezwa barani Ulaya na sasa tumezifahamu jumla ya timu 16 zilizofanikiwa kuingia hatua ya 16 ya michuano ya UEFA Champions League.


Matokeo ya game nane za mwisho za hatua ya makundi UEFA Champions League zilizochezwa usiku wa December 6 2017.

Michuano imemalizika na tumeshuhudia timu za Napoli na Borussia Dortmund ambazo tumezoea kuziona zikifanya vizuri katika michuano ya UEFA Champions zikiondolewa katika hatua ya Makundi ya michuano hiyo kitu ambacho hakijazoeleka sana.


Timu zilizofanikiwa kuingia hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2017/18.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

No comments:

Post a Comment