CR7 ATWAA TUZO YA BALLON D'OR 2017 - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 8 December 2017

CR7 ATWAA TUZO YA BALLON D'OR 2017 Staa wa soka wa Real Madrid na Ureno, Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya Ballon d’Or 2017.

Ronaldo ameshinda tuzo hiyo kwa mara ya tano na hivyo kufikia rekodi iliyowekwa na Lionel Messi.
2008
2013
2014
2016
2017

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

No comments:

Post a Comment