MANARA AFUNGUKA ALIVYOKERWA NA SIMBA MECHI YA JANA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 23 December 2017

MANARA AFUNGUKA ALIVYOKERWA NA SIMBA MECHI YA JANA


Baada ya Simba kutolewa kwenye michuano ya kombe la FA na timu ya daraja la pili, Green Worriors, Mkuu wa Kitengo Cha Habari na Mawasiliano Haji Manara ameibuka na kusema Simba leo imewatia aibu mashabiki wake zaidi ya Mil 20.

Manara akizungumza kwa uchungu amesema siku ya leo ndio siku mbaya zaidi kwake tangu aanze kuitumikia klabu ya Simba.


“Shame!! Aibu!!!Fedheha!!! Haivumiliki!!!Tumewakera fans wetu zaid ya twenty millions… nimeumia kuliko siku zote toka nimeanza kazi Simba..AIBU YA MWAKA”

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya sikukuu. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji.

Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

No comments:

Post a Comment