;
HALIMA MDEE AMTOLEA MAPOVU MBUNGE ALIYETOKA CUF NA KUHAMIA CCM - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 3 December 2017

HALIMA MDEE AMTOLEA MAPOVU MBUNGE ALIYETOKA CUF NA KUHAMIA CCM

Halima James Mdee
Kutokana na sakata la Mbunge wa Kinondoni Mh Maulid Mtulia kwatiketi ya CUF kuhamia CCM, Mbunge wa kawe kwa tiketi ya CHADEMA Mh Halima Mdee,  hakusita kutoa yake ya moyoni na kuandika yafuatayo kweny ukurasa wake wa twitter;

Nikisoma ujinga kama huu kutoka kwa Mbunge ambaye jimbo lake hata hiyo ILANI haijatekelezwa kutokana na MAGUFULI kuchukua pesa za Halmashauri na kuziweka kwenye Kibobo (BOT)!Huku utekelezaji wa MIRADI ya Maendeleo ukiwa[ 1-2%]sababu ya UKATA nawasikitikia sana waliompigia KURA. 

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB