RAIS MSTAAFU JK AFUNGUKA WAZI STAREHE YA KUSTAAFU - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 27 November 2017

RAIS MSTAAFU JK AFUNGUKA WAZI STAREHE YA KUSTAAFUJakaya Mrisho Kikwete ni Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo sasa ni zaidi ya miaka miwili toka amalize miaka yake kumi ya Urais.

Inaonekana J.K anapafurahia zaidi uraiani ambapo hii sio mara ya kwanza kwake kupost picha zake akiwa kwenye shughuli za kiraia mtaani.

Nyingine ambayo ameiandika saa kadhaa zilizopita baada ya kuweka hii picha ni >>> “Starehe ya kustaafu na kubakia kuwa raia mashuhuri ni kuweza kujifanyia mambo yako mwenyewe ikiwemo manunuzi ya mahitaji ya nyumbani”


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

No comments:

Post a Comment