POVU LA DOGOJANJA KWA SOUDY BROWN WA SHILAWADU - EDUSPORTSTZ

Latest

POVU LA DOGOJANJA KWA SOUDY BROWN WA SHILAWADU


Yule Kijana mdogo kwenye Tasnia ya Bongo fleva Abdulazizi Chande 'Dogo janja' ambaye wiki kazaa zilizopita amejikaza ubongo na kuamua kufunga ndoa na Diva kwenye tasnia ya BongoMovie mwanadada Irene 'Sheila' Uwoya ,

Juzi ameamua kumtolea povu mtangazaji 'Mmbea' Wa Tv na Radio Clouds Soudy brown ambaye amekuwa akimuandama mara kwa mara dogojanja kwa suala la ndoa yake na Mwanadada Uwoya kwakile kinachoonekana Tofauti ya umri kati ya wanandoa hao,

Baada ya kuona Soudy brown anavuka mipaka Dogojanja ameamua kumtolea povu la wiki Soudy huku akipost picha inayomuonesha Soudy brown sura yake halisi bila ya mask, Naona Badamu banazidi Kumwagikaaaaa

Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno Propellerads

For Booking>>>



CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI










Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz