Michezo, Matokeo, ajira, Livescore,msimamo wa ligi
MSIMAMO WA LIGI KUU BARA BAADA YA MECHI ZA LEO
bymafekeche-
0
MSIMAMO WA LIGI: Baada ya ushindi wa leo wa bao 1-0 dhidi ya Lipuli FC, Singida United imepanda hadi nafasi ya tano ikiwa na pointi 17 sawa na Mtibwa Sugar na Yanga.
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
Post a Comment