JULIO KUINGIA SOKONI KUNUNUA WACHEZAJI - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 11 November 2017

JULIO KUINGIA SOKONI KUNUNUA WACHEZAJI
Itakapofika Novemba 15, mwaka huu ndipo dirisha dogo la usajili ndipo litakapofunguliwa, sasa Kocha wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema ni lazima asajili wachezaji wa kumfanyia kazi kwani waliopo hawatoshi.


Kwenye Kundi C la Ligi Daraja la Kwanza, Dodoma FC ipo kileleni na pointi 18 huku wakitakiwa kushinda mechi tano ili kujihakikishia kupanda Ligi Kuu Bara msimu ujao.


Julio amesema; “Lazima niongeze wachezaji wengine kwani kati ya wachezaji nilionao natakiwa kuwaongezea nguvu ili tupande ligi kuu.”


Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno