BARUA RASMI YA MBUGE KAFULILA KUKIHAMA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO ( CHADEMA) - EDUSPORTSTZ

Latest

BARUA RASMI YA MBUGE KAFULILA KUKIHAMA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO ( CHADEMA)



Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila.

MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kigoma Kusini (2010-2015), David Kafulila amejivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutokana na kutokuwa na imani na upinzani katika kupambana na ufisadi.


Kafulila aliwahi kuwa mwanachama wa NCCR-Mageuzi na kushinda nafasi ya ubungewa jimbo hilo na alikuwa ndiye mbunge aliyeongoza suala la utafunaji wa fedha za Escrow, fedha ambazo ziligawanywa kwa watu wa matabaka mbalimbali serikalini na maeneo mengine.

Katika uchaguzi uliopita, Kafulila aligombea tena ubunge lakini alishindwa na alipofungua kesi kupinga matokeo hayo bado alishindwa mahakamani. Hii hapa chini ndo barua yake.



EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz