ALICHOPOST RIDHIWAN KIKWETE BAADA MAMA SAMIA KWENDA KUMJULIA HALI TUNDU LISSU - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 29 November 2017

ALICHOPOST RIDHIWAN KIKWETE BAADA MAMA SAMIA KWENDA KUMJULIA HALI TUNDU LISSUAlichokisema Ridhiwan Kikwete Baada ya Mama Samia Kumtembelea Tundu Lissu Hospitali

Alichokisema Ridhiwani Kikwete Baada ya Mama Samia Kumtembelea Tundu Lissu Hospitali
Mbunge wa Chalinze kupitia CCM ambaye pia ni mtoto wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete, ameonehsa kuguswa na kutoa yake ya moyoni baada ya Makamu wa Rais mama Samia Suluhu kwenda kumuona Tundu Lissu hospitali.

Kwenye ukurasa wake wa instagram Ridhiwani Kikwete ameandika ujumbe akisema kuwa Mama Samia ameonesha kuguswa kama mzazi kwa kitendo alichokifanya cha kwenda kumuona mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu.
"Sura yake Makamu wa Rais Mama Samiah Hassan inaonyesha kuguswa kama Mzazi. Wewe ni mzazi na Mungu aibariki Tanzania", ameandika Ridhiwani.
Hapo jana Makamu wa Rais mama Samia Suluhu alikwenda hospitali hapo kumuona Tundu Lissu ambaye amelzwa tangu Septemba 7 mwaka huu, baada ya kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya
 maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

No comments:

Post a Comment