SOKA LA WANAWAKE ULAYA:CHELSEA YAILAZA BAYERN MUNICH - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 12 October 2017

SOKA LA WANAWAKE ULAYA:CHELSEA YAILAZA BAYERN MUNICH

Chelsea yailaza Bayern Munich kombe la vilabu bingwa Ulaya


Wanawake wa Chelsea walinusurika dakika za mwisho chini Ujerumani na kufanikiwa kuwatoa Bayern Munich nje ya kombe la vilabu bingwa kupitia sheria ya mabao ya ugenini.

Ikiongoza 1-0 kutoka awamu ya kwanza ya mechi ,mshambuliaji wa Uingereza Fran Kirby alifunga bao kunako dakika ya 60 na hivyobasi kuimarisha ari ya Chelsea.

Bao hilo lilikiwacha kikosi hicho cha Ujerumani kuhitaji mabao matatu lakini kikafanikiwa kupata mawili, kupitia Gemma Davison aliyejifunga na Lucie Vonkova aliyefunga akiwa amesalia na goli.

Hatahivyo Chelsea ilifanikiwa na kuingia katika orodha ya timu 16 bora.

Bayern ilikuwa inadhania imefanikiwa dakika za lala salama wakati Simone Laudehr alipofunga mkwaju wa adhabu uliopigwa na Melanie Behringer lakini bao hilo likakataliwa kwa kudaiwa kumsukuma mwenzake.

 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI


No comments:

Post a Comment