TETESI ZA SOKA LA ULAYA 15.10.2017 - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 15 October 2017

TETESI ZA SOKA LA ULAYA 15.10.2017Gareth Bale
Real Madrid wamewaambia Manchester United kuwa ikiwa wanahitaji kumsaini Gareth Bale 28, watalazimika kumuachia kipa David de Gea 26, ili ahamie Bernabeu. (Mirror)


Meneja wa zamani wa Livepool Rafa Benitez huenda akahama Newcastle kujiunga na Everton ikiwa Ronald Koeman ataihama Everton. (The Sun)

Mesut Ozil 28, na Alexis Sanchez wote wa Arsenal hawatakuwa na mikataba miwishoni mwa msimu na Arsenal inatakata kuwauza mwezi Januari. (Star)

Itawalazimu Liverpool na Barcelona kumng'ang'ania mlinzi wa Southampton Virgil van Dijik, ikiwa wangependa kumsaini mwezi Januari. (Mirror)Virgil van Dijik

Everton wako tayari kutoa ofa ya pauni milioni 31 kwa mchezaji wa kiungo cha kati wa Sporting Lisbon, William Carvalho 25, licha ya klabu hiyo ya Ureno kusema kuwa haumuuzi. (Daily Mail, via Record)

Mshambuliaji wa Everton Henry Onyekuru 20, amethibitisha kuwa alikutana na maafisa wa klabu yake wiki iliyopita kuzungumzia kurejea mapema kutoka kwa mkopo na klabu ya Anderlecht. (Liverpool Echo)

Arsenal na Tottenham wote wanataka kumsaini wing'a wa Leicester Riyad Mahrez 26. (Mirror)Riyad Mahrez

Mshambuliaji wa Torino Andrea Belotti 23, ambye analengwa na Manchester United na Chelsea atapewa mkataba mpya na klabu hiyo ya Italia. (Daily Mail, via Tuttosport)

Jevuntus wako mbioni na klabu ya nyingine ya Serie A ,Napoli kumsaini mlinzi wa Porto Diogo Dalot 18. (Mediagol - in Italian)

Real Madrid wanamawawinda wachezaji kadhaa wanaocheza kombe la dunia la wachezaji walio chini ya miaka 17, huku mshambuliaji Amine Gouiri akiwa nambari moja katika orodha yao. (Marca)

Meneja wa Manchster United Jose Mourinho alikataa ofa kutoka Liverpool ya kutaka awe meneja wao wakati akiwa meneja wa Chelsea. (Yahoo Sport)Jose Mourinho
like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment