SIMANZI:ASKOFU MPENDA AMANI NCHINI KENYA AFARIKI DUNIA - EDUSPORTSTZ

Latest

SIMANZI:ASKOFU MPENDA AMANI NCHINI KENYA AFARIKI DUNIA



Cornelius KorirHaki miliki ya pichaJIMBO LA KITUI/FACEBOOK

Askofu wa kanisa Katoliki nchini Kenya ambaye alifahamika sana kwa kuhimiza maridhiano na amani katika kipindi cha mwongo mmoja uliopita amefariki dunia.

Askofu Cornelius Kipng'eno arap Korir wa jimbo la kanisa hilo la Eldoret, magharibi mwa Kenya alifariki dunia mapema leo akitibiwa katika hospitali ya mafunzo na rufaa ya Moi mjini Eldoret baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Mji wa Eldoret uliathiriwa sana na ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 na waathiriwa wengi walitafuta hifadhi katika kanisa kuu la jimbo hilo mjini Eldoret.
Askofu Koris alizaliwa 1950 katika eneo l Segutiet Bomet katika eneo la Kericho katika uliokuwa mkoa wa Bonde la Ufa.
Alitawazwa kuwa askofu wa Eldoret mnamo Juni 1990 jimbo hilo lilipokuwa na parokia 50.


 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>



CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI










Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz