SAMATTA BADO AENDELEA KUTIKISA NYAVU UBELGIJI - EDUSPORTSTZ

Latest

SAMATTA BADO AENDELEA KUTIKISA NYAVU UBELGIJI




KRC Genk imeendeleza ushindi nchini Ubelgiji baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Club Brugge.


Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ameendelea kuonyesha uwezo wake wa kufunga baada ya kushindilia msumari wa mwisho.


Samatta amefunga bao la pili katika dakika ya 90 baada ya Ruslan Malinovsky kuwa amefunga bao la kwanza katika dakika ya 43.


Samatta angeweza kufunga bao katika kipindi cha kwanza lakini mpira alioupiga ulipaa juu ya lango.



Muda mwingi Mtanzania huyo alikuwa mwiba mbele ya mabeki wa Club Brugge lakini walikuwa makini kuhakikisha hafungi.

like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>



CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI










Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz