MNIGERIA NAYE AENDELEA KUJIPANGA NAMNA YA KUWANYOSHA YANGA J'MOSI - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 26 October 2017

MNIGERIA NAYE AENDELEA KUJIPANGA NAMNA YA KUWANYOSHA YANGA J'MOSI


Simba imetoa nafasi kwa mshambuliaji Mnigeria kujinoa katika kikosi chake.


Mnigeria huyo mwenye umbo la miraba minne ameonekana kijifua katika kikosi cha Simba kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.

Mshambuliaji alianza kujifua na Simba jijini Dar es Salaam.

hivyo, Simba wamekuwa hawataki kuzungumzia lolote kuhusiana na mchezaji huyo.
like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment