MSUVA NA SAMATTA KUITAJIKA KIKOSI CHA TAIFA MCHEZO WA NOVEMBER - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 24 October 2017

MSUVA NA SAMATTA KUITAJIKA KIKOSI CHA TAIFA MCHEZO WA NOVEMBER

Mayanga amewataja makipa Aishi Manula, Peter Manyika na Ramadhani Kabwili kuunda kikosi hicho wakisaidiwa na mabeki ni Boniphace Maganga, Abdi Banda, Gadiel Michael, Kelvin Yondani, Nurdin Chona, Erasto Nyoni na Dickson Swai.

Kwenye orodha hiyo viungo ni Himid Mao, Hamis Abdallah, Mzamiru Yassin, Raphael Daudi, Simon Msuva, Shiza Kichuya, Ibrahim Ajib, Mohamed Issa, Farid Mussa na Abdul Mohamed.

Washambuliaji ni Mbwana Samatta, Mbaraka Yusuph, Elias Maguli na Yohana Mkomola.

Hata hivyo shirikisho la soka nchini TFF bado halijatangaza ni taifa gani litacheza na Taifa Stars kwenye mchezo huo wa Kalenda ya FIFA mwezi Novemba.like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment